MWANADADA Nyota katika tasnia ya filamu za Swahiliwood, Wastara Juma 'Stara', anaandika wimbo wa 'Asante Tanzania' akishirikiana na mumewe, Juma Kilowoko 'Sajuki'. �Katika wimbo huu tunawashukru Watanzania wote kwa michango yao na maombi yaliyomwezesha mume wangu Sajuki kupona baada ya kusumbuliwa na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua," alisema. "Si rahisi kuwafikia Watanzania wote kwa wakati mmoja, lakini kwa njia ya kuimba ujumbe wetu utafika. Lengo ni kusema asanteni." Alisema watafanya pia maonyesho kadhaa mikoani na kwa kuanzia juzi Jumapili walikuwa mjini Iringa.
Popular Posts
-
I: UTANGULIZI a) Masuala ya Jumla Mheshimiwa Spika, 1. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi M...
-
Mtaalamu kutoka Finland asaidia mikakati ya tehama
-
WIZARA ya Nishati na Madini, imesema tatizo la umeme nchini linatokana na kuchoka kwa miundombinu na hivyo kuzidiwa nguvu. Kauli hiyo ...
-
NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu ana...
-
JOSEPH KABILA Ni kijana na anawakilisha mustakabali wa nchi," Ndivyo walivyosema wafuasi wa Joseph Kabila wakati akiwasilisha fomu ...
Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa)
0 comments:
Post a Comment