Sheria mpya ya Kenya ya kuzuwia madereva kuendesha magari kihatari, inaanza kutekelezwa Jumamosi. Wakikutikana na makosa madereva watakabili adhabu kali pamoja na kifungo cha maisha. Madereva wa mabasi ya abiria, yaani matatu, wamekuwa wakigoma tangu Alhamisi mjini Nairobi na kwengineko, kulalamika juu ya sheria hiyo. Wengi wanasema kuwa hawamudu faini kubwa. Lakini serikali imeazimia kupunguza vifo mabara-barani. Mwaka uliopita Wakenya zaidi ya 3,000 wamekufa kwenye ajali za barabarani.
Popular Posts
-
I: UTANGULIZI a) Masuala ya Jumla Mheshimiwa Spika, 1. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi M...
-
Mtaalamu kutoka Finland asaidia mikakati ya tehama
-
WIZARA ya Nishati na Madini, imesema tatizo la umeme nchini linatokana na kuchoka kwa miundombinu na hivyo kuzidiwa nguvu. Kauli hiyo ...
-
NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu ana...
-
JOSEPH KABILA Ni kijana na anawakilisha mustakabali wa nchi," Ndivyo walivyosema wafuasi wa Joseph Kabila wakati akiwasilisha fomu ...
Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa)
0 comments:
Post a Comment