Huduma ya Maji na Nishati (EWURA), Mhandisi Godwin Samwel, akizungumza na wanahabari jana jijini, Dar es Salaam kuhusu kupanda kwa bei za mafuta. Kulia ni Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo. Picha na Richard Mwaikenda.
Kama ilivyo ada, na kulingana na Kanuni ya Kukokotoa bei za bidhaa za mafuta ya petroli bei zimekuwa zikikokotolewa na kutangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kila baada ya wiki mbili. EWURA inatangaza bei elekezi/kikomo za mafuta ya petroli nchini zitakazoanza kutumika kuanzia Jumatatu, Tarehe 15
0 comments:
Post a Comment