LEO asubuhi (juzi-Ijumaa) mida flani kati ya saa tano na saa sita, Tanzania imeshuhudia kitendo ambacho kwa mtazamo wangu na kwa jinsi ninavyo elewa na ninavyo heshimu bunge tukufu la jamhuri ya muungano wa Tanzania….ni kitu ambacho tukikifungia macho, basi tutakuwa tunaruhusu bunge hili kutumukia kama sehemu ya watu kumalizia matatizo yao binafsi na watu au kundi la watu….
Itafika mahali, mbunge wa Bunge letu akiwa na chuki zake binafsi tu akaamua kutumia jukwaa alilopewa kumuanzishia…
0 comments:
Post a Comment