Benki M yakua kiuchumi

Thursday, August 18, 2011


Benk M imekuwa kwa kasi kichumi katika kipindi cha miaka minne na kufikia thamani ya shilingi bilioni 284 ikilinganishwa na na thamani ya shilingi bilioni 42 iliyokuwa nayo benki hiyo wakati ilipoanzishwa mwaka 2007.

Mkuu wa kitengo cha ushirikiano wa benki hiyo Ambrose Nshala amesema mafanikio hayo yametokana na huduma iliyoanzishwa ya Sunday to Sunday ambapo benki inafanya kazi siku zote za wiki pamoja huduma wanazotoa kwa jamii.

0 comments:

Post a Comment