Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hakuna hila yoyote katika nia ya kutaka marekebisho matatu kwenye katiba kabla ya uchaguzi na kuwataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF kuridhia mabadiliko hayo kwa maslahi ya maendeleo ya mchezo huo. Tenga alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kufafanua juu ya waraka wa kuomba ridhaa ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF kuridhia mapendekezo matatu ya mabadiliko ya katiba yanayohusu uingizaji wa kipengele cha utoaji leseni kwa klabu (Club Licensing); kuundwa kwa Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi wa TFF na kuondoa nafasi ya Makamu wa Pili wa Rais wa TFF.
Popular Posts
-
I: UTANGULIZI a) Masuala ya Jumla Mheshimiwa Spika, 1. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi M...
-
Mtaalamu kutoka Finland asaidia mikakati ya tehama
-
WIZARA ya Nishati na Madini, imesema tatizo la umeme nchini linatokana na kuchoka kwa miundombinu na hivyo kuzidiwa nguvu. Kauli hiyo ...
-
NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu ana...
-
JOSEPH KABILA Ni kijana na anawakilisha mustakabali wa nchi," Ndivyo walivyosema wafuasi wa Joseph Kabila wakati akiwasilisha fomu ...
Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa)
0 comments:
Post a Comment