AWAOMBA RADHI WABUNGE, WATANZANIA
BUNGE jana lilipitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini huku baadhi ya wabunge wakiitahadharisha Serikali kuondokana na utamaduni wa kuwa na mipango ya dharura ambayo wamesema ni chanzo cha rushwa, wizi na ufisadi. Bajeti hiyo ilipitishwa jana baada ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Naibu wake, Adam Malima, kujibu hoja za wabunge na kuwasilisha mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo la umeme nchini.
Ngeleja aliza kuijibu hoja kwa kuwaomba radhi wabunge na Watanzania kwa ujumla…
0 comments:
Post a Comment