ZANZIBAR imo hatarini kukabiliwa na janga kubwa la uharibifu wa mazingira ya bahari iwapo kasi ya uingizaji mifuko ya plastiki itaendelea, serikali ilionya jana.Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar , Fatma Abdul-Habib Fereji aliwaambia wanandhishi wa habari mjini hapa kuwa ingawa serikali imepiga marufuku miufuko hiyo, bado inaingia visiwani humo kupitia njia za panya
0 comments:
Post a Comment