Pages

Maulid ya Kuadhimisha Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja yafana

Friday, January 17, 2014 1 comments

Sheikh Mkuu wa Bakwata, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kushoto), akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Baadhi ya waumini wanawake wakiwa kwenye hafla ya Maulid ya maadhimisho ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi katika hafla hiyo ya Maulid.

Mbuge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu, akiwa na baadhi ya viongozi wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali katika hafla hiyo.

Kikundi cha Ahbabi Rasulillah kikitumbuiza wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kwa ala tupu.
 
Kikundi cha Ahbabi Rasulillah kikitumbuiza wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kwa ala tupu.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa kampuni za IPP, Reginald Mengi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki na Kamnda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, wakiitikia dua iliyokuwa ikiombwa na Sheikh Sharif Hussein Badani (kushoto), kutoka nchini Kenya, wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa kampuni za IPP, Reginald Mengi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki na Kamnda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, wakiitikia dua iliyokuwa ikiombwa na Sheikh Sharif Hussein Badani (kushoto), kutoka nchini Kenya, wakati wa Maulid hayo.

Ustaadhi Imadi Rabbi kutoka Misri akisoma Kur'an, wakati wa ufunguzi wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kulia ni Sheikh wa Bakwata Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim.

Ustaadhi Imadi Rabbi kutoka Misri akisoma Kur'an, wakati wa ufunguzi wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Waumini wa Dini ya Kiislamu, wakiwa kwenye Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), jijini usiku wa kuamkia leo. 

\Kikundi cha Ahbabi Rasulillah kikitumbuiza wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Mnazi Mmoja kwa kaswida inayojulikana kwa jina la Bado hujachelewa, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. 

Sheikh Mkuu wa Bakwata, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim, akitoa salamu zake za Maulid wakati wa maadhimidho hayo, usiku wa kuamkia leo, Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Kwamnyamani, Sheikh Idd Muhammad Idd, akiwa na Mbunge Profesa Kapuya, kwenye maadhimisho hayo.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akimkabidhi picha Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini, Murtaza Sabouri (kulia), kutokana na Baraza la Kiislamu Tanzania (Bakwata), Mkoa wa Dar es Salaam, kutambua mchango wake katika kupatanisha na kuwaunganisha watu wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini, wakati wa maadhimisho hayo.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizungumza katika hafla ya maadhimisho hayo.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akiagana na baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu, mara baada ya kusimama Kiamu kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad.

Mmoja wa wasomaji wa Maulid hayo, akisoma mlango wa Sita (Kiamu) katika kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), viwanjani hapo.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akiwa katika kisimamo katika maadhimisho hayo.

Baadhi ya viongozi wa dini, Taasisi, Wabunge na wageni mbalimbali wakiwa katika kisimamo cha Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad viwanjani hapo usiku wa kuamkia leo.

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, Joseph Mbatia akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya maadhimisho hayo.

Chini na juu wakundi vya Dufu vikitumbuiza kwa kaswida mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo, usiku wa kuamkia leo.

Rais Kikwete amtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Salmin Amour Jumaa.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Salmin Amour Jumaa, alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya 
kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.

Gmail update: Reach more people you know

Thursday, January 16, 2014 0 comments

Ever wanted to email someone you know, but haven't yet exchanged email addresses? Starting this week, when you're composing a new email, Gmail will suggest your Google+ connections as recipients, even if you haven't exchanged email addresses yet.
How it works with email addresses
Emailing Google+ connections works a bit differently to protect the privacy of email addresses. Your email address isn't visible to your Google+ connections until you send them an email, and their email addresses are not visible to you until they respond.
Receiving email from people outside your circles
If you receive an email from someone outside your circles, it will be filtered into the Social category of the inbox (if enabled) and only after you respond or add them to your circles, can they start another conversation with you.
How to control who can contact you
You're in control of whether people can reach you with a new setting in Gmail on the desktop. To learn more, check out the Help Center.
The Gmail Team
© 2013 Google Inc. 1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View, CA 94043 

You have received this mandatory email service announcement to update you about important changes to your Gmail product or account.

Cordial Tours kuinua kilimo Nchini Kuleta wa wawekezaji toka Israel Timu ya wakulima hapa nchini waenda kujifunza Na Salesi Malula

0 comments

Katika kuitikia kaulimbiu ya kilimo kwanza Kampuni ya Utalii ya Cordial Tours Yenye makao makuu yake Jijini Dar es salaam imeamua kuunga Mkono kauli mbiu ya serikali kwa kuandaa safari ya utalii katika masuala ya kilimo ambapo timu ya wakulima kutoka mikoa mbalimbali wameenda nchini Israel kushiriki maonyesho ya kimataifa yanayohusu ukulima wa kisasa pamoja na kujifunza ikiwepo kuwaunganisha na wakulima wakubwa Duniani ili waweze kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta ya kilimo ambayo ndiyo inaweza kulikomboa taifa hili kiuchumi.
Katika mahojinao maalumu na Gazeti hili Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo hapa nchini Bw.David Kizito alisema Kampuni yake imejipanga kuhakikisha Watanzania wanaielewa vyema sera ya Serikali ya Kilimo kwanza na sisi kama kampuni tumeamua kuinga mkono serikali kwa vitendo kwa kuratibu safari za mafunzo kwa wenzetu Waisrael ambao wamefanikiwa sana katika eneo la Kilimo na kuwaunganisha wakulima na wawekezaji wakubwa kutoka Israel.
Mbali na kuratibu safari za mafunzo pia tunatafuta uwezekano wa kuanzisha mafunzo kwa walima nchini kote na mipango inaendelea ili ikiwezekana tuweze kujenga chuo cha kilimo watu waweze kujifunza na hatimaye tuweze kubadilisha kilimo chetu kuwa cha kisasa.
Mtaalamu mmoja kutoka Israel aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi tajiri sana kwani Dodoma pekee yake kabla hujaenda maeneo mengine ina uwezo wa kulisha Afrika nzima na kama Tanzania itaweka kipaumbele kwenye kilimo upo uwezekano kwa Taifa hili kuilisha Dunia kwani Israel ni jangwa lakini walipotia bidii katika mageuzi ya kilimo cha kisasa leo hii Taifa lao linalisha karibu nusu ya dunia na uchumi wao umepiga hatua kwa kuuza mazao kwa wingi katika soko la Dunia.
Akifafanua zaidi alisema katika safari ya kwanza ya kwenda kujifunza watanzania wakuwa Israel kwa muda wa siku saba na watashiriki katika maonyesho ya kilimo kutoka mataifa mbalimbali na watakwenda kutembelea mashamba ili waone kwa vitendo pamoja na kuwaunganisha na wakulima wakubwa ili waweze kuona namna ya kuja kuwekeza katika medani ya kilimo.
Kutokana na wananchi wengi kuhamasika kwenda kujifunza Kampuni yake imeamua kuandaa safari nyingine ya mafunzo nchini Israel ambayo itakuwa tarehe 8-18 februaly 2014 na hii ni kuitikia maombi kutoka kwa wananchi wengi ambao wameiomba kampuni kuandaa safari nyingine kwani katika safari hii ya maonyesho tulipewa nafasi 20 tu lakini safari ijayo tuna nafasi zaidi ya 200 ambazo tumepewa.
Nitumie fursa hii kuwaomba watanzania kujiandikisha kwaajili ya safari ya mwezi ujao kwani mafunzo ndio njia pekee inayoweza kugeuza uchumi wetu kwa kupitia sekta ya kilimo na si vinginevyo.
Mwandishi wa makala hii anapatikana kwa simu0752930541.smnoza@yahoo.com

Cordial Tours kuinua kilimo Nchini Kuleta wa wawekezaji toka Israel Timu ya wakulima hapa nchini waenda kujifunza Na Salesi Malula

Friday, January 10, 2014 0 comments

Mwandishi wa makala hii anapatikana kwa simu0752930541.smnoza@yahoo.com.

MAMIA ZANZIBAR WANUFAIKA NA HUDUMA ZA NHIF.

Wednesday, January 8, 2014 0 comments

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya alipotembelea bandani hapo. 

Naibu Waziri huyo akipata ushauri kutoka kwa wataalam baada ya kupima uzito, sukari na shinikizo la                                                                                          damu. 

     Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata huduma za vipimo katika banda hilo. 

Ofisa Matekelezo na Uratibu Ainess Bamanyisa akitoa elimu kwa askari polisi waliohitaji ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko.

PINDA AENDA NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIGWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZISHI NA KUWAPA POLE WAFIWA

0 comments