skip to main | skip to sidebar
Facebook RSS Feed Twitter

Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa)

Pages

  • Home

PINDA AENDA NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIGWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZISHI NA KUWAPA POLE WAFIWA

Jitokezedirectory Wednesday, January 8, 2014



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na baadhi  ya waombolezaji baada a kuwasili nyumbani kwa  aliyekuwa  Wazri wa Fedha, Dr. William Mgimwa  katia kijiji cha Magunga ambako alikwenda kutoa pole na kukagua maandalizi ya  mazishi Januari 5, 2013. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa  kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi  Januari 5, 20134. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 




 Waziri mkuu, Mizengo  Pinda  akizungumza na   jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole  wafiwa  na kukagua maandalizi ya  mazishi Desemba 5, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu) 








Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  baadhi  ya waombolezaji baada a kuwasili nyumbani kwa  aliyekuwa  Wazri wa Fedha, Dr. William Mgimwa  katia kijiji cha Magunga ambako alikwenda kutoa pole na kukagua maandalizi ya  mazishi Januari 5, 2013. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

0 comments:

Post a Comment

« Newer Post Older Post » Home

Popular Posts

  • HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 14 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
    I:          UTANGULIZI  a)            Masuala ya Jumla   Mheshimiwa Spika, 1.              Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi M...
  • Mtaalamu kutoka Finland asaidia mikakati ya tehama
     Mtaalamu kutoka Finland asaidia mikakati ya tehama
  • MIUNDO MBINU YA TANESCO IMECHOKA
    WIZARA ya Nishati na Madini, imesema tatizo la umeme nchini linatokana na kuchoka kwa miundombinu na hivyo kuzidiwa nguvu. Kauli hiyo ...
  • Taswira Mbalimbali Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
    Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Hesbu za Mashirika ya Umma, Kabwe Zuberi Zitto, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma ...
  • FAHAM MADHALA YA KUONGEZA MAKALIO
    NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu ana...
  • WAJUE WAGOMBEA KITI CHA URAIS DRC
    JOSEPH KABILA Ni kijana na anawakilisha mustakabali wa nchi," Ndivyo walivyosema wafuasi wa Joseph Kabila wakati akiwasilisha fomu ...
globalwisesoftnet & graphic designer tanzania. Powered by Blogger.

MATANGAZO

Zanzibar RESTAURANT

TANGAZA BIASHARA YAKO NASI

JITOKEZEDIRECTORY TANZANIA
BOX 24023
Dar salaam
Tanzania Tel, +255787257871,+255655257871
Email; baharileotz@gmail.com
globalwisesoftnet@gmail.com http://habarileotanzania.blogspot.com/

Website counter
 
 
Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa)
Habari Leo Tanzania, Media, (East Africa) © 2011 | Designed by globalwisesoftnet