Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Jakaya kikwete akilihutubia bunge mjini Dodoma.kulia ni spika wa Bunge Anne Makinda.
Wabunge wakisikiliza hotuba ya Rais
Rais kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa jamhuri ya muungano mara baada ya kumaliza kulihutubia Bunge mjini Dodoma(picha zote na Ikulu
0 comments:
Post a Comment